Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwaarifu Waombaji wa nafasi ya Mteknolojia/Msaidizi Maabara, Muuguzi, Afisa Tabibu, Mteknolojia/Msaidizi Dawa na Karani wa Data (Data Clerk) kuwa Usaili umepangwa kufanyika tarehe 17.09.2024 kuanzia saa mbili kamili asubuhi katika ukumbi wa Mganga Mkuu Hospitali ya Manyamanya.
Bofya hapa kusoma zaidi na kutazama Majina ya wanaoitwa:KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda