Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi za wakusanya mapato katika vyanzo vya mapato Halmashauri ya Mji wa Bunda kuwa usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 05.03.2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda.
kwa maelezo zaidi soma hapa KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda