MKURUGENZI wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, anapenda kuwataarifa waombaji wa nafasi ya kazi ya TABIBU DARAJA LA II kuja kushiriki Usaili utakaofanyika tarehe 17/11/2020 katika makao makuu ya Halmashauri ya Mji wa Bunda.
Bofya hapa kutazama majina ya waliochaguliwa kushiriki Usaili. TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda