Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwatangazia matokeo ya usaili wa kuandika katika kada ya Msaidizi wa Kumbukumbuku daraja la II leo tarehe 27 Juni, 2025. Kutazama matokeo tafadhari bofya hapa MATOKEO YA USAILI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda