Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anayofuraha kuwatangazia nafasi za kazi kada ya Watendaji wa Mtaa daraja la III nafasi 11, Kada ya Dereva daraja la II nafasi 2, Msaidizi wa Kumbukumbu daraja la II nafasi 3 na Mwandishi mwendesha Ofisi nafasi 2.
Bofya hapa kusoma zaidi TANGAZO LA KAZI BUNDA TC, .pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda