Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anawajulisha Wasailiwa wote waliokua wamefanya Usaili wa kazi mbalimbali Idara ya Ardhi na Mipango Miji kupitia Tangazo la Usaili la tarehe 01/02/2022 kwamba waombaji waliokidhi vigezo wanatakiwa kuripoti kazini kwa ajili ya kuanza kazi mnamo Tarehe 15/02/2022.
Bofya hapa kutazama majina ya waliochaguliwa KURIPOTI KAZINI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda