Mkurugenzi wa Halmasahuri ya Mji wa Bunda anapenda kuwatangazia waombaji kazi wa nafasi ya kukusanya mapato waliofanya usaili tarehe 26/01/2026 kuwa haya ndio majina ya yaliofaulu na kuitwa kazini. Hivyo mnatakiwa kuripoti Kituo Jumuishi cha Biashara tarehe 28/01/2026 kuanzia 2:00 asubuhi mkiwa na vyeti vyenu halisi.
Bofya hapa kusoma majina TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA YA MUDA YA KUKUSANYA MAPATO.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda