Mkurugenzi wa Halmasuri ya Mji wa Bunda anapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za Mtendaji wa mtaa daraja la III, Katibu Muhtasi daraja la III na Msaidizi wa kumbukumbu daraja la II kuwa usaili umepangwa kufanyika tarehe 13/07/2020 saa 02:00 asubuhi makao makuu ya Halmashauri ya Mji w Bunda. kwa maelezo zaidi fungua kiambatanisho hapo chini USAILI MPYA.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda