Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, anapenda kuwatangazia waombaji waliokidhi vigezo vya kuitwa kwenye usaili kwa nafasi ya mtendaji wa mtaa daraja III kuwa usaili utafanyika Tarehe 18/03/2021 na 19/03/2021 saa 3:00 asubuhi makao makuu ya Hamashauri ya Mji wa Bunda.
Bofya hapa chini kwa maelezo zaidi na kuona majina ya walioitwa kwenye usaili,
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda