Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi ya kazi mtendaji daraja la III waliopita katika usaili wa awamu ya kwanza kufika kesho tarehe 19/03/2021 kwenye usaili saa mbili kamili asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda saa mbili kamili asubuhi.
Bofya hapa kuona majina ya waliochaguliwa.MATOKEO BUNDA EXCELL.xls
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda