Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi katika nafasi za Dereva II, Katibu Mahsusi III, Mtendaji wa Mtaa III na Mtunza kumbukumbu II kuwa Usaili umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 29 Agosti 2022 hadi tarehe 2 Septemba 2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika Ukumbi wa Halmasahuri ya Mji wa Bunda.
Bofya hapa kusoma zaidi na kuona majina ya waliitwa kwenye Usaili: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda