Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwaarifu Waombaji wa nafasi za Tabibu, Wafamasia, Watakwimu, Wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii, Waelimishaji rika, Wapokea huduma mashuhuri, Wateknolojia wa maabara na Washauri wa wapokea huduma kuwa Usaili umepangwa kufanyika tarehe 29.09.2023 kuanzia saa mbili kamili asubuhi katika ukumbi wa Mganga Mkuu Hospitali ya Manyamanya.
Bofya hapa kutazama Majina ya walioitwa: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AMREFU BUNDA TC.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda