Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwatangazia Wananchi wenye majina yaliyopo kwenye Orodha iliyopo kwenye kiambatisho kuwa wanatakiwa kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda tarehe 28.03.2022 siku ya Jumatatu saa tatu kamili (03:00) asubuhi kwaajili ya Usaili.
Kuona majina bofya hapa: MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI ANUANI ZA MAKAZI BUNDA MJI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda