Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mi wa Bunda anapenda kuwaarifu waombaji wa kazi walioomba katika kada tajwa hapo juu kuwa usaili unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 24.06.2025 hadi 28.06.2025. Kumbuka kuzingatia maelekekezo yaliyotolewa katika Tangazo hili. Majina ya wanaoitwa yameambatishwa, bofya hapa kusoma zaidi KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda