Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kushirikiana na Shirika la AMREF Health Africa Tanzania kupitia mradi wa Afya Thabiti annakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi kama ilivyoanishwa katika Tangazo hili. Bofya hapa kusoma zaidi TANGAZO LA AJIRA AMREF.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda