Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bunda anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye sifa nafasi ya kazi ya muda mfupi ya kukusanya Taarifa za Anuani za Makazi katika Halmashauri ya Mji wa Bunda.
Maombi yote yatumwe kama Tangazo linavyolelekeza.
Bofya hapa kusoma Tangazo ANUANI ZA MAKAZI.pdf
Tafadhari zingatia muda wa kutuma maombi hayo.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda