Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bunda Mjini, anapenda kutangaza nafasi 984 za kazi za muda za uchaguzi kwa nafasi zifuatazo:
i. Msimamizi wa kituo cha kupigia kura
ii. Msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura
iii. Karani mwongozaji wapiga kura
Kwa maelezo zaidi na jinsi ya kutuma maombi bofya hapa chini
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda