Saturday 18th, January 2025
@UWANJA WA NDEGE MUSOMA
Waziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Mara kuanzia tarehe 15 hadi 21 January 2018. Katika ziara yake waziri mkuu anatarajia kutembelea wilaya zote za Mkoa wa Mara ambako atakagua miradi mbalimbali ya maendeleo, atafanya mikutano ya hazara na kuongea na watumishi wa serikali kuu na mamlaka za serikali za mitaa.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda