Utangulizi.
Huduma za afya katika Halmashauri ya mji wa Bunda hutolewa kwa ushirikiano kati ya Serikali na wadau wengine kwa maana ya watu na mashirika binafsi (Public Private Partnership) Chini ya Mkurugenzi wa Mji wa Bunda zikisimamiwa na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mji
Katika kuhakikisha kwamba huduma zinatolewa kama zilivyokusudiwa Idara ya afya imegawanyika katika vitengo vikuu 5 ambavyo vinavyofanya kazi kwa pamoja ili kuhakikisha kwamba huduma zinazotolewa katika vituo mbalimbali zinakidhi viwango vilivyowekwa.
Vitengo hivi ni kama ifuatavyo:
1. Uratibu wa Programuza Afya.
2. Uratibu wa Mipango.
3. Utawala na vitendea kazi.
4. Uratibu wa afya mazingira.
5. Uratibu wa Tiba.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda