Kujaza kikamilifu fomu ya maombi
Kisha ambatanisha vifuatavyo
kivuli cha Namba ya usajili wa mlipa kodi (TIN).
Uthibitisho wa uraia (kivuli cha cheti cha kuzaliwa,Passport ya kusafiria,cheti cha utaifa, kiapo Mahakamani ,cheti chakupiga kura.)
Uthibitisho wa maandishi eneo la kufanya biashara.
Kampuni ambatanisha nakala ya cheti cha usajili wa Kampuni na Memorandum and Articles of Association.
Kama ni jina la biashara aambatanishe vyeti vya usajili Brela(registration Certificate na Extract from Register)
Kwa mwombaji ambaye sio raia wa Tanzania aambatanishe kibali cha kuishi nchini daraja A.
Kama wenye Kampuni hawaishi nchini wanawakilishwa,ambatanisha hati ya kiwakili (power of Attorney).
Kwa waombaji wa biashara za Kitaalamu waambatanishe vyeti vya kuruhusiwa kufanya biashara hizo kutoka Mamlaka husika.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda