• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua za Ofisi |
    • Malalamiko |
Bunda Town Council
Bunda Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
    • Miiko ya Halmashauri
    • Mikakati
  • Utawala
    • Chati ya Halmashauri
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
    • Idara Mbali mbali
      • Utumishi na Utawala
      • Idara ya Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Urban Planning and Natural Resources
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Kilimo na Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Miundombinu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Balili
      • Kata ya Kabasa
      • Kata ya Mcharo
      • Kata ya Manyamanyama
      • Kata ya Sazira
      • Kata ya Wariku
      • Kata ya Nyatwali
      • Kata ya Guta
      • Kata ya Kabarimu
      • Kata ya Bunda Stoo
      • Kata ya Nyasura
      • Kata ya Nyamakokoto
      • Kata ya Kunzugu
      • Kata ya Bunda mjini
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayo endelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Hotuba
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARA ATEMBELEA UJENZI WA MADARASA BUNDA MJI

Posted on: January 5th, 2023

Tarehe 05.01.2023

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Bwana Msalika Robert Makungu leo ametembelea shule tatu za Sekondari ambazo bado zinaendelea na zoezi la ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa katika Halmashauri ya Mji wa Bunda.

Shule ambazo ametembelea ni Shule ya Sekondari Rubana, Bunda stoo na Migungani. Katibu Tawala amekuta kazi iliyobaki kwa izo shule ni kupachika Top za milango ambapo wasimamizi wa shule hizo wameahidi kukamilisha ndani ya wiki hii kabla ya shule kufunguliwa.

Aidha Katibu Tawala wa Mkoa amezitaka shule hizo kuhakikisha wanakamilisha pia vitu vidogo vidogo vilivyosalia kama kuweka raba kwenye viti na meza, kuondoa ncha kali katika baadhi ya viti na meza na pia kuhakikisha madawati yote yanakamilika katika madarasa yote kabla ya shule kufunguliwa.

Kupitia ziara hiyo Bwana Msalika ameziagiza shule zote za Mkoa wa Mara kuhakikisha wanaanza masomo mapema iwezekanavyo siku ya kwanza ya kufungua shule. Ratiba za usafi zisiathiri ratiba za masomo.

Mwisho Katibu Tawala Bwana Msalika ameupongeza Uongozi wa Wilaya na Halmashauri kwa usimamizi mzuri wa miradi hiyo iliyotekelezwa kwa ubora na viwango vinavyotakiwa.

Matangazo Mengine

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA ANUANI ZA MAKAZI March 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 25, 2018
  • HABARI NJEMA KWA WANABUNDA WOTE NA WALIO NJE YA BUNDA. May 08, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2020
  • Soma yote

Habari mpya

  • SHULE BORA KUIMARISHA USHIRIKIANO BAINA YA WAZAZI NA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI BUNDA MJINI (UWAWA)

    March 09, 2023
  • BARAZA LA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA LIMEPITISHA BAJETI YA TSH. BILIONI 32.9 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    March 09, 2023
  • MKUTANO WA BARAZA LA HALMASHAURI KUELEZA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI ROBO YA PILI 2022/2023

    March 02, 2023
  • SHILINGI BILIONI 4.7 ZATENGWA NA TARURA KUTENGENEZA BARABARA NDANI YA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    February 10, 2023
  • Soma yote

Video

Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2017
  • SHERIA YA MANUNUZI
  • Training Guide for updating and Preparation of District Strategic Plans
  • Majukumu ya Viongozi Ngazi ya Halmashauri
  • Land Act 2004
  • HOTUBA YA BAJETI OR - TAMISEMI
  • ORODHA YA WALIMU WAPYA

Kurasa za kufanana

  • Wizara ya Habari
  • Wizara ya Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • OR TAMISEMI
  • Mkoa wa Mara
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bunda Town Council

    Anuani ya Posta: 219 Bunda

    Sim: +255 28 2621773

    Mobile:

    Barua Pepe: info@bundatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda