• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua za Ofisi |
    • Malalamiko |
Bunda Town Council
Bunda Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
    • Miiko ya Halmashauri
    • Mikakati
  • Utawala
    • Chati ya Halmashauri
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
    • Idara Mbali mbali
      • Utumishi na Utawala
      • Idara ya Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Urban Planning and Natural Resources
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Kilimo na Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Miundombinu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Balili
      • Kata ya Kabasa
      • Kata ya Mcharo
      • Kata ya Manyamanyama
      • Kata ya Sazira
      • Kata ya Wariku
      • Kata ya Nyatwali
      • Kata ya Guta
      • Kata ya Kabarimu
      • Kata ya Bunda Stoo
      • Kata ya Nyasura
      • Kata ya Nyamakokoto
      • Kata ya Kunzugu
      • Kata ya Bunda mjini
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayo endelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Hotuba
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA WILAYA YA BUNDA (DCC)

Posted on: November 25th, 2022

Kikao Cha kisheria Cha Kamati ya ushauri ya Wilaya ya Bunda kimefanyika Leo tarehe 25.11.2022 na kukutanisha Viongozi wa Serikali, Taasisi, Wataalamu, Viongozi wa dini, Viongozi wa Vyama vya siasa pamoja na wazee mashuhuli wa Bunda.

Mwenyekiti wa Kikao hiki alikua ni Mheshimiwa Joshua Nassari Mkuu wa Wilaya ya Bunda ambae aliwashukuru wajumbe wote kwa ushiriki na ushauri wao mzuri walioutoa na kuaihidi kuufanyia kazi.

Katika Kikao hiki, makundi mbalimbali yaliwasilisha taarifa ya utekelezaji inayoonesha malengo, mafanikio pamoja na changamoto zinazowakabili Wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.

Makundi yaliyowasilisha ni Halmashauri ya Mji wa Bunda, Halmashauri ya Wilaya ya Bunda, Wakala wa Barabara Mjini na Vijijini (TARURA), Wakala wa Maji Mjini na Vijijini BUWSSA na RUWASA, Wakala wa Vitambulisho vya Taifa NIDA, Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Jeshi la Magereza, Uongozi wa Hifadhi ya Taifa ya wanyapori ya Serengeti (SENAPA), Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) pamoja na Taasisi ya Uhamiaji.

Baada ya mawasilisho hayo, wajumbe walichangia mada kwa kutoa maoni yao ambapo Idara husika ziliyapokea na kuahidi kuyafanyia kazi.

Aidha, Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya alisisitiza ushirikiano na mahusiano mazuri baina ya Taasisi na Taasisi, kukaa kwa pamoja kujadiliana changamoto mbalimbali zinazojitokeza na kuzimaliza na sio kusubiri Kikao Cha DCC.

Mwisho Mheshimiwa Mwenyekiti alisema kuwa milango ya Ofisi yake ipo wazi na muda wowote mwananchi au Kiongozi anakaribishwa kwa majadiliano zaidi kwa manufaa ya Maendeleo ya Wilaya ya Bunda.

Matangazo Mengine

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA ANUANI ZA MAKAZI March 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 25, 2018
  • HABARI NJEMA KWA WANABUNDA WOTE NA WALIO NJE YA BUNDA. May 08, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2020
  • Soma yote

Habari mpya

  • SHULE BORA KUIMARISHA USHIRIKIANO BAINA YA WAZAZI NA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI BUNDA MJINI (UWAWA)

    March 09, 2023
  • BARAZA LA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA LIMEPITISHA BAJETI YA TSH. BILIONI 32.9 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    March 09, 2023
  • MKUTANO WA BARAZA LA HALMASHAURI KUELEZA SHUGHULI ZA UTEKELEZAJI ROBO YA PILI 2022/2023

    March 02, 2023
  • SHILINGI BILIONI 4.7 ZATENGWA NA TARURA KUTENGENEZA BARABARA NDANI YA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    February 10, 2023
  • Soma yote

Video

Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2017
  • SHERIA YA MANUNUZI
  • Training Guide for updating and Preparation of District Strategic Plans
  • Majukumu ya Viongozi Ngazi ya Halmashauri
  • Land Act 2004
  • HOTUBA YA BAJETI OR - TAMISEMI
  • ORODHA YA WALIMU WAPYA

Kurasa za kufanana

  • Wizara ya Habari
  • Wizara ya Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • OR TAMISEMI
  • Mkoa wa Mara
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bunda Town Council

    Anuani ya Posta: 219 Bunda

    Sim: +255 28 2621773

    Mobile:

    Barua Pepe: info@bundatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda