Akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Kiwasi katika shule ya Msingi Kiwasi, Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Anney amesema suala la Chakula shuleni ni maelekezo ya Serikali kwamba wanafunzi wote shuleni lazima wapate chakula.
Hivyo, Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ameagiza Serikali ya Mtaa kusimamia zoezi hilo ili wazazi au walezi waweze kuchangia chakula cha watoto wao shuleni.
DC. Naano amesema endapo mzazi/mlezi atakaidi kuchangia basi achukuliwe hatua za kisheria na atozwe faini ambayo itasaidia shughuli za maendeleo katika shule hiyo.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda