Leo Jumanne 15 Oktoba 2024, Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mji wa Bunda Ndg. Juma Haji Juma amefika katika Kituo cha mtaa kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda