• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua za Ofisi |
    • Malalamiko |
Bunda Town Council
Bunda Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
    • Miiko ya Halmashauri
    • Mikakati
  • Utawala
    • Chati ya Halmashauri
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
    • Idara Mbali mbali
      • Utumishi na Utawala
      • Idara ya Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Urban Planning and Natural Resources
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Kilimo na Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Miundombinu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Balili
      • Kata ya Kabasa
      • Kata ya Mcharo
      • Kata ya Manyamanyama
      • Kata ya Sazira
      • Kata ya Wariku
      • Kata ya Nyatwali
      • Kata ya Guta
      • Kata ya Kabarimu
      • Kata ya Bunda Stoo
      • Kata ya Nyasura
      • Kata ya Nyamakokoto
      • Kata ya Kunzugu
      • Kata ya Bunda mjini
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayo endelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Hotuba
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC MARA KANALI EVANS MTAMBI ALETA TUMAINI JIPYA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA KINYAMBWIGA

Posted on: July 4th, 2024

Leo Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amefanya Mkutano wa hadhara na wananchi wa Mtaa wa Kinyambwiga stooni ambapo kuna machimbo ya dhahabu.

Kanali Evans Mtambi amewaelekeza Wachimbaji wadogo kuunda Vikundi vya watu wachache ili waweze kusaidiwa na Serikali, " Undeni Makundi madogo madogo wote hapa mgodini ili Serikali iweze kuwapa msaada wa kufanya shughuli zenu."

Mkuu wa Mkoa amesema Serikali ya Mama Samia imedhamilia kuwakomboa wachimbaji wadogo ili waweze kuona faida ya kazi yao.

Aidha Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa amesema baada ya kuunda Vikundi yupo tayari kutoa msaada wa kisheria kwa wachimbaji wadogo ili waweze kupata uelewa wa uchimbaji madini ili waweze kuingia mikataba mizuri dhidi ya wenye leseni ya kuchimba madini katika eneo hilo.

Kwa upande mwingine Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa amemuelekeza Kamanda wa Polisi Mkoa kuweka Kituo Cha Polisi katika eneo hilo la Stooni na kujenga Kituo Cha Polisi kwa kushirikiana na Wadau wanaochimba madini hapo.

Pia Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa amemtaka Meneja wa TANESCO Mkoa kutembelea eneo hilo na kuona namna ya kuongeza nguvu ya Umeme kwani Transformer iliyopo imezidiwa nguvu.

Maelekezo mengine aliyoyatoa ni Uongozi wa wachimbaji wadogo kukaa na Mwenye leseni kupanga namna Bora ya kufanya malipo au mgao kwa wachimbaji wadogo, Mganga Mkuu wa Halmashauri kuhakikisha umeme unafika Kituoni na Kituo kutoa huduma kwa watu wote, Ofisi ya Mkurugenzi kupeleka Ramani ya ujenzi wa shule ya Sekondari ili wananchi waanze kujenga Sekondari yao.


#kaziiendelee

Matangazo Mengine

  • TANGAZO LA KAZI KADA MBALIMBALI September 17, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA September 16, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI KADA YA AFYA September 12, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI AMREF HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA August 31, 2024
  • Soma yote

Habari mpya

  • KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA BUNDA YAKAGUA NA KURIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.09 IKIWA NI UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM

    March 12, 2025
  • RC MARA AMPOKEA DC BUNDA

    February 27, 2025
  • DC BUNDA DKT. VICENT ANNEY ALISHAURI BARAZA LA MADIWANI KUPANGA BAJETI YENYE TIJA KWA MAENDELEO YA HALMASHAURI

    February 13, 2025
  • ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 32.2 ZAPITISHWA NA BARAZA LA MADIWANI IKIWA NI MPANGO NA BAJETI WA 2025/2026

    February 13, 2025
  • Soma yote

Video

Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2017
  • SHERIA YA MANUNUZI
  • Training Guide for updating and Preparation of District Strategic Plans
  • Majukumu ya Viongozi Ngazi ya Halmashauri
  • Land Act 2004
  • HOTUBA YA BAJETI OR - TAMISEMI
  • ORODHA YA WALIMU WAPYA

Kurasa za kufanana

  • Wizara ya Habari
  • Wizara ya Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • OR TAMISEMI
  • Mkoa wa Mara
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bunda Town Council

    Anuani ya Posta: 219 Bunda

    Sim: +255 28 2621773

    Mobile:

    Barua Pepe: info@bundatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda