TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WALIOOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI WA SENSA NA WASIMAMIZI WA MAUDHUI TAREHE 19/7/2022
KATIBU WA KAMATI YA SENSA YA KATA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WALIOOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA MUDA KATIKA ZOEZI LA SENSA YA WATU NA MAKAZI KWA MWAKA 2022, NA AMBAO MAJINA YAO YAMEORODHESHWA KWA AJILI YA USAILI, KUFIKA KATIKA OFISI ZA YA KATA TAREHE 19/7/2022 KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI KWA AJILI YA USAILI. TANGAZO HILI LA KUFIKA OFISI ZA KATA LINAWAHUSU WALIOOMBA NAFASI ZA UKARANI WA SENSA NA USIMAMIZI WA MAUDHUI. KWA WALIOOMBA NAFASI ZA USIMAMIZI WA TEHAMA WANATAKIWA KUFIKA OFISI YA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA MJI BUNDA TAREHE 20/7/2022, KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI KWA AJILI YA USAILI. WAOMBAJI WOTE AMBAO MAJINA YAO YAMEORODHESHWA WANATAKIWA KUFIKA NA NAKALA HALISI ZA VYETI KWA SIFA ZILIZOORODHESHA KATIKA MAOMBI YAO PAMOJA NA KITAMBULISHO CHA UTAIFA(NIDA).
BOFYA HAPA KUTAZAMA:
MAJINA YA WALIOOMBA NAFASI YA UKARANI Maombi ya kazi za sensa-UKARANI.xls
MAJINA YA WALIOOMBA NAFASI YA MSIMAMIZI WA TEHAMA Maombi ya kazi za sensa-USIMAMIZI TEHAMA.xls
MAJINA YA WALIOOMBA NAFASI YA USIMAMIZI WA MAUDHUI Maombi ya kazi za sensa-USIMAMIZI WA MAUDHUI.xls
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda