Posted on: February 13th, 2025
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Dkt. Vicent Anney akilihutubia Baraza la Halmashauri ya Mji wa Bunda amelishauri Baraza kuzingatia vipaumbele muhimu katika Mapango na Bajeti wa Mwaka 2025/2026.
...
Posted on: February 13th, 2025
Mwenyekiti wa Baraza Mheshimiwa Malongo Mashimo ameongoza Mkutano wa Baraza kupitia na kujadili Rasimu ya Mpango na Bajeti wa Mwaka 2025/2026.
Bajeti hii kabla ya kuingia kwenye Baraza ilijadiliwa ...
Posted on: January 5th, 2025
Akifungua Mafunzo hayo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Ndg. Juma Haji Juma amewataka Wenyeviti wa Mitaa na Wajumbe wao kushiriki kikamilifu katika kusimamia na kuibua vyanzo vya Mapato viliv...