SHULE YA SEKONDARI MIGUNGANI: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, Ndg. Emmanuel Mkongo akitoa maelekezo kwa Uongozi wa shule na mafundi kuongeza kasi ya ujenzi. Aidha, Mkurugenzi ameziagiza shule zote ambazo hazijafikia hatua ya kupandisha ukuta kuongeza kasi ili kukimbizana na tarehe ya ukamilishaji Mradi huu.
SHULE YA SEKONDARI MIGUNGANI: Ujenzi ukiwa katika hatua ya Msingi
SHULE YA SEKONDARI BUNDA: Ujenzi ukiwa katika hatua kupandisha ukuta.
SHULE YA SEKONDARI BUNDA: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupandisha ukuta.
SHULE YA SEKONDARI NYIENDO: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupandisha ukuta.
SHULE YA SEKONDARI NYIENDO: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupandisha ukuta.
SHULE YA SEKONDARI GUTA: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupanga mawe na kumwaga jamvi
SHULE YA SEKONDARI WARIKU: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupanga mawe na kumwaga jamvi.
SHULE YA SEKONDARI WARIKU: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupanga mawe na kumwaga jamvi.
SHULE YA SEKONDARI KABASA: Ujenzi ukiwa katika hata ya kumwaga jamvi.
SHULE YA SEKONDARI KABASA: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kumwaga jamvi.
SHULE YA SEKONDARI DR. NCHIMBI: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupanga mawe na kumwaga jamvi.
SHULE YA SEKONDARI DR.NCHIMBI: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kupanga mawe.
SHULE YA SEKONDARI SAZIRA: Ujenzi ukiwa katika hatua ya kumwaga jamvi kisha kupandisha ukuta.
SHULE YA SEKONDARI SAZIRA; Ujenzi ukiwa katika hatua ya kumwaga jamvi
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda