• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua za Ofisi |
    • Malalamiko |
Bunda Town Council
Bunda Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
    • Miiko ya Halmashauri
    • Mikakati
  • Utawala
    • Chati ya Halmashauri
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
    • Idara Mbali mbali
      • Utumishi na Utawala
      • Idara ya Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Urban Planning and Natural Resources
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Kilimo na Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Miundombinu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Balili
      • Kata ya Kabasa
      • Kata ya Mcharo
      • Kata ya Manyamanyama
      • Kata ya Sazira
      • Kata ya Wariku
      • Kata ya Nyatwali
      • Kata ya Guta
      • Kata ya Kabarimu
      • Kata ya Bunda Stoo
      • Kata ya Nyasura
      • Kata ya Nyamakokoto
      • Kata ya Kunzugu
      • Kata ya Bunda mjini
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayo endelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Hotuba
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KATIBU MKUU TAMISEMI AAHIDI KUBADILISHA KITUO CHA AFYA MANYAMANYAMA KUWA HOSPITALI.

Posted on: April 24th, 2020

KATIBU Mkuu Tamisemi Eng. Joseph Nyamhanga, amesema Serikali iko mbioni kutafuta fedha zaidi ya Shilingi Milioni 700 za Kitanzania kwaajili ya ukarabati wa Kituo cha Afya cha Manyamanyama ili kipewe hadhi ya kuwa Hospitali kama ulivyompango wa Serikali kila Halmashauri kuwa na Hospitali.

Ameeleza hayo leo tarehe 22/04/2020 alipotembelea Kituo cha afya cha Manyamanyama baada ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Bi. Janeth Peter Mayanja kuwasilisha ombi kwake kusaidia upatikanaji wa fedha za kuboresha kituo cha afya cha Manyamanyama na kukipandisha hadhi kuwa Hospitali ya Halmashauri.

Aidha, Mkurugenzi amesema kuwa kituo kinakabiliwa na uhaba wa miundombinu kama jengo la X-ray, Jengo la OPD, jengo la Mortuary, upungufu wa wodi, jengo la dharura ( Emergency room) na Uzio kuzunguka kituo, ukizingatia kituo hiki kinahudumia watu wengi sana na wengine kutoka nje ya mipaka yake.

Katibu Mkuu amefanya ziara ya siku moja ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bunda, kwa kutembelea Sekondari ya Kabasa na Kituo cha afya cha Manyamanyama. Aidha amewapongeza sana viongozi wa Halmashauri na Wilaya kwa kazi kubwa wanaiyofanya ya kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo inayotolewa na serikali.


Imetolewa na:


Kitengo cha Afisa Habari na Mahusiano

Halmashauri ya Mji wa Bunda

Matangazo Mengine

  • MAZOEZI! MAZOEZI! MAZOEZI! April 01, 2017
  • Lipia kodi ya pango kwa manufaa ya halmashauri ya mji June 23, 2017
  • NAFASI ZA KAZI September 06, 2017
  • WALIOITWA KWENYE USAHILI May 30, 2018
  • Soma yote

Habari mpya

  • MKURUGENZI HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA ATEMBELEA UJENZI WA SHULE SITA MPYA ZA SEKONDARI NDANI YA HALMASHAURI YA MJI BUNDA

    January 05, 2021
  • MADIWANI 19 WA HALMASHURI YA MJI WA BUNDA WAAPISHWA RASMI

    December 15, 2020
  • MGOGORO WA ARDHI KATIKA ENEO LA TANAPA DHIDI YA WANANCHI WATATULIWA

    September 16, 2020
  • SEMINA YA MAFUNZO YA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020 KWA WASIMAMIZI WASAIDIZI NGAZI YA KATA BUNDA YAZINDULIWA RASMI

    August 08, 2020
  • Soma yote

Video

Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2017
  • SHERIA YA MANUNUZI
  • Training Guide for updating and Preparation of District Strategic Plans
  • Majukumu ya Viongozi Ngazi ya Halmashauri
  • Land Act 2004
  • HOTUBA YA BAJETI OR - TAMISEMI
  • ORODHA YA WALIMU WAPYA

Kurasa za kufanana

  • Wizara ya Habari
  • Wizara ya Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • OR TAMISEMI
  • Mkoa wa Mara
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bunda Town Council

    Anuani ya Posta: 219 Bunda

    Sim: +255 28 2621773

    Mobile:

    Barua Pepe: info@bundatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda