Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anayo furaha kutangaza nafasi mbili(2) za kazi ya Afisa Mtendaji wa Kijiji daraja la III yenye ngazi ya mshahara TGS B. Ajira hizo zinatokana na kibali cha Ajira toka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, chenye Kumb Na. CFC.26/205/01*FF*/91 cha tarehe 22/08/2017.
SIFA ZA MWOMBAJI
KAZI NA MAJUKUMU
Maombi yote yatumwe kupitia anwani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Mji
S. L. P 219,
BUNDA
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda