Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi nafasi ya Dereva II, Katibu Mahususi III na Mtendaji wa Mtaa III kupitia Tangazo la kazi lililotangazwa lenye Kumb.Na. HMB/H/10/22/132 la terehe 27 Aprili, 2023 kuwa Usaili umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 21 Septemba, 2023 hadi tarehe 24 Septemba, 2023 saa 2:00 Asubuhi.
Kwa maelezo zaidi na Kusoma majina ya waliochaguliwa bofya hapa: KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda