Mkurugenzi wa Mji wa Bunda anapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa; kufuatia tangazo lake la kazi tarehe 25 machi 2018 kwa nafasi za afisa watendaji wa vijiji kwa mashart ya kudumu. uchambuzi wa maombi kwa wenye sifa tayari umekalika na usahili utafanyika mnamo tarehe 05 juni 2018 na 06 juni 2018 katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Bunda.
Waombaji waliokidhi vigezo wanatakiwa kufika kwenye ukumbi kwajili ya usahili majira ya saa 02:00 asubuhi wakiwa nyaraka zote muhimu kwajili ya uthibitisho.
WALIOITWA KWENYE USAHILI BUNDA-MJI.pdf
Maombi yote yatumwe kupitia anwani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Mji
S. L. P 219,
BUNDA
email: info@bundatc.go.tz
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda