Halmashauri ya mji wa Bunda imeendelea kuenzi kwa vitendo kauli ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kufanya Mazoezi kila jumamosi ya Pili ya Mwezi. Wananchi wa Halmashauri ya Mji Bunda wakiwa kwenye mazoezi jumamosi ya pili ya Mwezi uwanja wa sabasaba |
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda