Tarehe 18/4/2018 Halmashauri ilitembelewa na Afisa wa Ubalozi wa Japan kuja kutembelea Kabasa Sekondari baada ya Halmashauri kuwasilisha ombi la ujenzi Hostel ya Wasichana ili kutengeneza mazingira wezeshi kwa Wasichana na ikiwa maandalizi ya shule kuanzisha kidato cha V kwa masomo ya sayansi
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda