• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua za Ofisi |
    • Malalamiko |
Bunda Town Council
Bunda Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
    • Miiko ya Halmashauri
    • Mikakati
  • Utawala
    • Chati ya Halmashauri
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
    • Idara Mbali mbali
      • Utumishi na Utawala
      • Idara ya Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Urban Planning and Natural Resources
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Kilimo na Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Miundombinu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Balili
      • Kata ya Kabasa
      • Kata ya Mcharo
      • Kata ya Manyamanyama
      • Kata ya Sazira
      • Kata ya Wariku
      • Kata ya Nyatwali
      • Kata ya Guta
      • Kata ya Kabarimu
      • Kata ya Bunda Stoo
      • Kata ya Nyasura
      • Kata ya Nyamakokoto
      • Kata ya Kunzugu
      • Kata ya Bunda mjini
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayo endelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Hotuba
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA YAWA KINARA UMISSETA 2022 MKOA WA MARA

Posted on: August 12th, 2022

Ni Mwaka wa pili mfululizo Halmashauri ya Mji wa Bunda inakuwa Mabingwa, Mshindi wa kwanza kati ya Halmashauri Tisa za Mkoa wa Mara katika mashindano ya UMISSETA ngazi ya Mkoa.

Pichani ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Ndg. Emmanuel J. Mkongo akipokea zawadi hizo za vikombe kutoka kwa Kaimu Afisa Elimu Sekondari Mwalimu Michael Nkoba na Kaimu Afisa Utamaduni, Michezo , Sanaa na Vijana Ndg. Amos Mtani katika Ofisi yake.

Mkongo amewapongeza Viongozi na Walimu wote waliohusika kuwaandaa wanamichezo hao na kusisitiza Umoja, Mshikamano, Weledi na ufanisi katika kutekeleza majukumu yao ya kazi kwani michezo ni sehemu ya masomo mashuleni.

Katika mashindano ya UMISSETA ngazi ya Mkoa Mwaka 2022, Halmashauri ya Mji wa Bunda imefanikiwa kuvuna vikombe Vitano vya Ushindi wa kwanza katika Mchezo wa Soka Wasichana, Soka Wavulana, Mpira wa Mikono Wavulana, Usafi Wasichana na Kimoja Cha Ushindi wa Jumla.

Aidha Halmashauri imefanikiwa kutoa wachezaji 28 kuunda timu ya Mkoa na Walimu( makocha) wanne.

Matangazo Mengine

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA PILI June 27, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA YA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU, MWANDISHI MWENDESHA OFISI, DEREVA June 12, 2025
  • TANGAZO LA KAZI KADA MBALIMBALI September 17, 2024
  • TANGAZO LA KAZI YA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA September 16, 2024
  • Soma yote

Habari mpya

  • MKUU WA MKOA MARA AIPONGEZA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA KUPATA HATI SAFI

    July 13, 2025
  • WALIMU NA SHULE ZILIZOFANYA VIZURI MTIHANI WA DARASA LA SABA NA DARASA LA NNE KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA WAPONGEZWA

    June 09, 2025
  • MKUTANO MKUU WA ALAT MKOA WA MARA ROBO YA TATU 2024/2025 WAZIPONGEZA HALMASHAURI KWA UKUSANYAJI MZURI WA MAPATO NA KUZISIHI KUONGEZA NGUVU KUFIKIA MALENGO

    May 28, 2025
  • WAJUMBE WA ALAT MKOA WA MARA WAIPONEZA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

    May 27, 2025
  • Soma yote

Video

Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2017
  • SHERIA YA MANUNUZI
  • Training Guide for updating and Preparation of District Strategic Plans
  • Majukumu ya Viongozi Ngazi ya Halmashauri
  • Land Act 2004
  • HOTUBA YA BAJETI OR - TAMISEMI
  • ORODHA YA WALIMU WAPYA

Kurasa za kufanana

  • Wizara ya Habari
  • Wizara ya Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • OR TAMISEMI
  • Mkoa wa Mara
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bunda Town Council

    Anuani ya Posta: 219 Bunda

    Sim: +255 28 2621773

    Mobile:

    Barua Pepe: info@bundatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda