Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda akimpongeza mkazi wa Bunda kwa jitahida alizofanya za kumpeleka mtoto kliniki. 'Kulingana na Mila na Desturi za Mkoa wa Mara Baba huyu anahitaji pongezi sana'. alisema Janeth.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda