• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua za Ofisi |
    • Malalamiko |
Bunda Town Council
Bunda Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
    • Miiko ya Halmashauri
    • Mikakati
  • Utawala
    • Chati ya Halmashauri
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
    • Idara Mbali mbali
      • Utumishi na Utawala
      • Idara ya Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Urban Planning and Natural Resources
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Kilimo na Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Miundombinu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Balili
      • Kata ya Kabasa
      • Kata ya Mcharo
      • Kata ya Manyamanyama
      • Kata ya Sazira
      • Kata ya Wariku
      • Kata ya Nyatwali
      • Kata ya Guta
      • Kata ya Kabarimu
      • Kata ya Bunda Stoo
      • Kata ya Nyasura
      • Kata ya Nyamakokoto
      • Kata ya Kunzugu
      • Kata ya Bunda mjini
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayo endelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Hotuba
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KIKAO CHA KAMATI YA LISHE YA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

Posted on: May 3rd, 2023

Leo Jumanne Kamati inayoratibu masuala ya lishe katika Halmashauri ya Mji wa Bunda imekutana chini ya Mwenyekiti wa Kamati Ndg. Emmanuel Mkongo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji kujadili mwenendo na utekelezaji wa Lishe katika jamii ya watu wa Bunda.

Katika kikao hicho, Idara mbalimbali zinazohusika na lishe zimeeleza Mipango mkakati ya kukabiliana na suala la lishe katika maeneo yao na kuonesha utekelezaji katika robo iliyopita.

Aidha, kikao kimeazimia hamasa kuendelea kutolewa kwa wazazi kuzingatia Lishe bora kwa watoto wao lakini pia kwa wazazi wenye watoto wanafunzi kuhamasika kuchangia chakula shuleni ili wanafunzi wapate Chakula wakiwa shuleni.

Mzazi kumbuka Lishe ya sasa kwa mwanao ndio matokeo ya kesho katika makuzi yake, mjali mwanao kwa kumpatia Lishe bora kwa Afya Bora ya mwili na Akili pia.


#kaziiendelee

Matangazo Mengine

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI AMREF BUNDA MJI September 26, 2023
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KWA KADA YA MTENDAJI WA MTAA September 23, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 18, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MUDA YA KUKUSANYA MAPATO June 09, 2023
  • Soma yote

Habari mpya

  • MKURUGENZI MKONGO AKAGUA MIRADI YA BOOST HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    August 26, 2023
  • MKURUGENZI MKONGO AKAGUA MIRADI YA BOOST HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    August 26, 2023
  • JUMLA YA MIRADI 39 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 37.08 IMETEMBELEWA NA KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA BUNDA

    August 24, 2023
  • ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA BUNDA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    August 23, 2023
  • Soma yote

Video

Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2017
  • SHERIA YA MANUNUZI
  • Training Guide for updating and Preparation of District Strategic Plans
  • Majukumu ya Viongozi Ngazi ya Halmashauri
  • Land Act 2004
  • HOTUBA YA BAJETI OR - TAMISEMI
  • ORODHA YA WALIMU WAPYA

Kurasa za kufanana

  • Wizara ya Habari
  • Wizara ya Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • OR TAMISEMI
  • Mkoa wa Mara
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bunda Town Council

    Anuani ya Posta: 219 Bunda

    Sim: +255 28 2621773

    Mobile:

    Barua Pepe: info@bundatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda