Timu ya mawaziri nane wa wizara wakiongozwa na Mh Lukuvi leo tarehe 18/2/2019 wametembelea ghuba ya speke kata ya Nyatwali kujionea hali halisi ya eneo hilo na kuzungumza na Wananchi. Pamoja na kujionea shughuli za kibinadamu zinazoendelea katika ghuba hii pia walisikiliza maoni ya wakazi wa eneo hili.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda