Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abass amewaasa maafisa habari wote kuwa wafanye kazi kwa kufuata miiko ya taaluma zao. Ameyasema hayo alipokuwa akiongea na Maafisa Habari na Maafisa TEHAMA wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya ziwa wakiwa katika mafunzo ya uaandaji wa Tovuti jijini Mwanza.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda