Mwenge wa Uhuru umezindua, umeweka jiwr la Msingi na kutembelea miradi nane katika Halmashauri ya Mji wa Bunda.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndg. Abdala Shaib Kaimu ameupongeza Uongozi wa Wilaya na Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kutekeleza na kusimamia vizuri miradi ya maendeleo inayoletwa na Serikali na ile inayoibuliwa na wananchi na kisha kuiendeleza.
Miradi mitatu imezinduliwa, miradi miwili imewekewa Jiwe na Msingi na miradi mitatu imetembelewa.
MWENGE WA UHURU HOYEEEEE!
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda