Halmashauri ya Mji wa Bunda tunakupongeza kwa kuendelea kuaminiwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhamishwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Tunakushukuru kwa Utumishi wako kwa kipindi chote ulichokua Mkuu wa Mkoa wa Mara, tunatambua ushirikiano wako wa dhati uliotupatia Halmashauri ya Mji wa Bunda na daima tutaendelea kuyaenzi yale yote mazuri uliyotuachia. Karibu tena Mkoa wa Mara Mheshimiwa @said_mtanda
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda