Tukutane Butiama!
Tarehe 04/06/2017 ni kilele cha Siku ya Mazingira duniani ambayo kitaifa inafanyika katika mkoa wa mara Halmashauri ya Wilaya ya Butiama. Kauli mbiu ya kitaifa ni 'Hifadhi mazingira muhimili kwa Tanzania ya Viwanda'' Mgeni Rasmi wa siku ya kilele cha siku ya mazingira atakuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda