Waandikishaji wa wapiga Kura katika Halmashauri ya Mji wa Bunda wametoa kiapo chao Utii mbele ya Msimamizi wa Uchaguzi aliepewa Mamlaka ya kutoa kiapo hicho Ndg. Juma Haji Juma katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda Leo tarehe 06.10.2024.
Jiandae kujiandikisha ili upate fursa ya kumchagua Kiongozi unayemtaka.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda