Mkuu wa Wilaya ya Bunda amewahimiza wananchi wa kata ya Nyatwali kuendelea kuitumia miundombinu ya Umwagiliaji Nyatwali katika kujinufaisha. ameyasema hayo alipokuwa akikagua ujenzi wa miundombinu hiyo akiwa na kamati ya siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda