Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda, anapenda kuwatangazia waombaji wa kazi nafasi ya
i) Data Clerk
ii) Afisa Tabibu
iii) Mteknolojia Madawa
iv) Wauguzi
v) Lay Cancellor
vi) Community Health worker na
vii) Mteknolojia Maabara
kuwa usaili umepangwa kufanyika tarehe 10/09/2021 saa mbili kamili asubuhi katika Hospitali ya Manyamanyama Jengo la UTAWALA.
Waombaji wote wafike kabla ya saa 2:00 asubuhi wakiwa na vyeti vyao halisi( Original certificates)
Bofya hapa chini kuangalia majina ya wanaitwa kwenye usaili
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda