• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua za Ofisi |
    • Malalamiko |
Bunda Town Council
Bunda Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Bunda

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
    • Miiko ya Halmashauri
    • Mikakati
  • Utawala
    • Chati ya Halmashauri
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • Kitengo cha Sheria
      • Uchaguzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
    • Idara Mbali mbali
      • Utumishi na Utawala
      • Idara ya Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufatiliaji
      • Urban Planning and Natural Resources
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Kilimo na Umwagiliaji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Miundombinu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa madiwani
      • Kuonana na mwenyekiti
    • Kata
      • Kata ya Balili
      • Kata ya Kabasa
      • Kata ya Mcharo
      • Kata ya Manyamanyama
      • Kata ya Sazira
      • Kata ya Wariku
      • Kata ya Nyatwali
      • Kata ya Guta
      • Kata ya Kabarimu
      • Kata ya Bunda Stoo
      • Kata ya Nyasura
      • Kata ya Nyamakokoto
      • Kata ya Kunzugu
      • Kata ya Bunda mjini
  • Miradi
    • Miradi itakayo tekelezwa
    • Miradi inayo endelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Hotuba
    • Ripoti
    • Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

25 March 2018

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa za kuomba nafasi za Watendaji wa Vijiji kwa masharti ya kudumu. Tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha ajira mbadalachenye Kumb. Na CFC.26/205/01 ''F''/91 cha tarehe 22/8/2017  pamoja na barua ya nyongeza ya muda wa utekelezaji wa kibali cha ajira Mbadala wa Maafisa watendaji wa vijiji na Mitaa yenye Kumb. Na CFC.26/205/01 ''GG''/95 cha tarehe 12/03/2018 vyote kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

SIFA ZA MWOMBAJI

  1. Awe amehitimu kidato cha nne na awe na astashahada /cheti katika fani zifuatazo:-
    • Usimamizi wa fedha
    • Utawala 
    • Maendeleo ya Jamii
      • Sayansi ya Jamii
    • Mipango ya Maendeleo vijijini
    • Sheria
  2. Awe na umri usiopungua miaka 18 na si Zaidi ya miaka 45
  3. Awe na Akili timamu.

KAZI NA MAJUKUMU

  1. Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji mipango ya maendeleo vijijini
  2. Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
  3. Kusimamia , kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za kijiji.
  4. Katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
  5. Kusimamia utungaji wa Sheria ndogo za kijiji.
  6. Afisa masuuli wa kijiji na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
  7. Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na Migogoro ya wananchi.

Maombi yote yatumwe kupitia anwani ifuatayo:

Mkurugenzi,

Halmashauri ya Mji

S. L. P 219,

BUNDA

email: info@bundatc.go.tz

tangazo march.pdf

Matangazo Mengine

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA ANUANI ZA MAKAZI March 30, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 25, 2018
  • HABARI NJEMA KWA WANABUNDA WOTE NA WALIO NJE YA BUNDA. May 08, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2020
  • Soma yote

Habari mpya

  • TEHAMA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU BUNDA MJI

    May 05, 2022
  • BILIONI 25 ZAPITISHWA NA BARAZA LA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA KWAAJILI YA MPANGO NA BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2022/23

    February 02, 2022
  • UZINDUZI WA VYUMBA 48 VYA MADARASA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    January 15, 2022
  • KIKAO CHA VIONGOZI WA DINI NA WATAALAMU WA AFYA WILAYANI BUNDA KUJADILI MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO - 19

    December 31, 2021
  • Soma yote

Video

Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2017
  • Matokeo ya Kidato cha nne 2017
  • SHERIA YA MANUNUZI
  • Training Guide for updating and Preparation of District Strategic Plans
  • Majukumu ya Viongozi Ngazi ya Halmashauri
  • Land Act 2004
  • HOTUBA YA BAJETI OR - TAMISEMI
  • ORODHA YA WALIMU WAPYA

Kurasa za kufanana

  • Wizara ya Habari
  • Wizara ya Utumishi
  • Sekretarieti ya Ajira
  • OR TAMISEMI
  • Mkoa wa Mara
  • Ikulu

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Bunda Town Council

    Anuani ya Posta: 219 Bunda

    Sim: +255 28 2621773

    Mobile:

    Barua Pepe: info@bundatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda