Saturday 18th, January 2025
@UWANJA WA SABASABA
Kufuatia agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la kutaka kila mtanzania kushiriki Mazoezi ili kupunguza magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Halmashauri ya Mji wa Bunda itazindua siku hiyo kwa kukimbia kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya hadi chuo cha ualimu Bunda na kumalizia uwanja wa sabasaba kwa kufanya mazoezi mepesi.shughuli hii itarushwa mubashara na kituo cha redio mazingira.
wananchi wote mnakaribishwa kushiriki mazoezi.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda