Saturday 18th, January 2025
@Ukumbi wa halmashauri
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI anatarajiwa kutembelea Wilaya ya Bunda Leo tarehe 19/06/2017. Taarifa toka Ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Bunda zinasema atatembelea eneo la makutano ya Wilaya za Bunda, Butiama na Serengeti Maarufu kwa jina la sambusa. Aidha anatarajiwa kuongelea mgawanyo wa Mali, eneo na rasilimali Kati ya halmashauri za mji wa Bunda na Wilaya ya Bunda.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda