Leo Watendaji wa Kata wa Halmashauri ya Mji wa Bunda wamepatiwa Mafunzo ya matumizi ya mfumo wa Serikali wa manunuzi ujulikanao kwa jina la NeST ili kuweza kuwasaidia kufanya manunuzi mbalimbali katika Ofisi zao.
Mafunzo hayo yametolewa na Ofisi ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu kwa kushirikiana na Ofisi ya Manunuzi na Ofisi ya TEHAMA Halmashauri ya Mji wa Bunda.
Bunda Town Council
Anuani ya Posta: 219 Bunda
Sim: +255 28 2621773
Mobile:
Barua Pepe: info@bundatc.go.tz
haki zote zimehifadhiwa.Haki miliki ©2017 Halmashauri ya mji wa bunda