Posted on: December 17th, 2017
Halmashauri ya Mji wa Bunda imepokea msaada wa vifaa vyenye thamani ya Sh 15,722,000/= toka kwa kampuni ya kizalendo ya Maboto Enterprise Limited; kwajili ya kuchangia ujenzi wa jengo la kuhifadhia ma...
Posted on: July 20th, 2017
Halmashauri ya mji wa Bunda kwa kuona umuhimu wa kuwajengea uwezo watendaji wa serikali kwa ngazi zote mwaka wa fedha ilitenga fedha kwajili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji wake, ilikufanikis...
Posted on: June 19th, 2017
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. George Simbachawene Katika majumuisho ya ziara yake wilayani Bunda ambako alitembelea maeneo kadhaa yanayopendekezwa kujengwa jengo la makao makuu ya mji wa B...